Mwisho wa enzi: Mahrez, Samatta, Mendy kuikosa AFCON WAKATI harakati za kusaka kufuzu kwa fainali ya Mataifa ya Afrika (PAMOJA AFCON2027) zikitarajia kuanza wiki hii tayari nyota nane wa Afrika wameamua kustaafu soka la kimataifa.