Mariam Yusuph ni mama, mke na mchezaji BEKI wa Mashujaa Queens, Mariam Yusuph Juma mwenye umri wa miaka 33, ameamua kuonyesha mfano kwa matendo, kutenganisha kazi anayoifanya ya soka na maisha halisi kama mwanamke.