Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Kocha Simeone atoa onyo kali Italia

Muktasari:

Simione alisema kwa sasa mawazo yake ni kuifanikisha klabu hiyo kumaliza kwenye nafasi ya tatu katika ligi hiyo na hafikirii kuhusu hatima ya ajira yake.

Kocha wa Atletico Madrid amesema haoni sababu ya watu kuanza kuhoji kuhusu hatima ya kibarua chake kwenye klabu hiyo, bali wasubiri mpaka msimu huu ukimalizika.

Simione alisema kwa sasa mawazo yake ni kuifanikisha klabu hiyo kumaliza kwenye nafasi ya tatu katika ligi hiyo na hafikirii kuhusu hatima ya ajira yake.

Simione alisema hajui lolote kuhusu klabu ya Inter Milan ambayo inahitaji huduma yake msimu ujao, baada ya kumtimua kocha wao, Stefano Pioli.