Staa wako Bongo naye ana staa wake mamtoni KUPTIA mahojiano mbalimbali, baadhi ya mastaa wa Bongofleva wamewahi kuwataja wasanii kutoka nje ambao wanawashabikia au waliowavutia hadi na wao kuamua kufanya muziki.