Warithi wa Motsepe CAF waanza kutajwa MAJINA ya viongozi wanne yameanza kutajwa katika taarifa za vyombo vya habari kama wanaoweza kurithi nafasi ya rais wa Shirikisho la Soka Afrika (CAF), Dk. Patrice Motsepe, ambaye awali alieleza...