Masai; Meneja, mchezaji mwenye vyeti uwanjani MWENYE mbili havai moja. Ni msemo unaoweza kutumia kuelezea majukumu anayofanya mchezaji wa Ken Gold, Charles Masai akitumika kuongoza na kucheza soka kwa wakati mmoja.