Arsenal vs Man City mambo matano kuamua mechi, mbio ubingwa MACHO yote yatakuwa kwa Arsenal na Manchester City, leo Jumapili zitakapokutana katika Uwanja wa Emirates kwenye Ligi Kuu England, na hapa tunaangazia baadhi ya simulizi muhimu kabla ya mchezo huo.