Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Mzozo azichorea Simba, Yanga mchongo wa mabilioni

Muktasari:

  • Mzozo ambaye ni mwanzilishi wa  Friends Rangers  tangu mwaka 1994, yenye  maskani yake Magomeni inayofanya mazoezi Uwanja wa Makrumla, katika mahojiano yake na Mwanaspoti, historia yake imejaa simanzi, furaha kidogo, huku uyuda ukiwa umetawala kwa wachezaji alioanza nao safari baada ya mafanikio wakaamua kuchikichikia na kumwacha akiendelea kupambana na hali yake.