Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Moto wa Ayoub bado haujakolea

Muktasari:

  • Ayoub juzi kwenye mechi ya marudiano ya Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya Simba na Wydad AC ya Morocco alionyesha kiwango bora ikiwa ni mwendelezo wa moto aliouonyesha kwenye michuano ya CAF na kuiwezesha timu hiyo kushinda mabao 2-0 ikapanda kutoka nafasi ya nne ya Kundi B hadi ya pili ikiwa na pointi tano.