Rekodi ngumu inayozisubiri Simba, Yanga CAF DROO ya hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika, imewekwa hadharani juzi jijini Cairo, Misri, huku timu za Simba na Yanga ambazo ndio wawakilishi wa Tanzania zikijua rasmi wapinzani...