Hat trick za Kelvin John mtihani CECAFA U-20 Wakati michuano ya Afrika Mashariki na Kati CECAFA U-20 ikiendelea kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam, kuna mambo mengi yanatarajiwa kutokea ikiwamo ufungaji wa mabao.