Chombo ajifananisha na Chama, Mzize MSHAMBULIAJI wa timu ya Sauti Parasport ya mpira wa miguu ya walemavu, Salim Chombo amesema kama isingekuwa kupata ajali ya gari na kukatwa mguu mmoja, huenda angekuwa anatajwa katika ‘level’ za...