Chombo ajifananisha na Chama, Mzize MSHAMBULIAJI wa timu ya Sauti Parasport ya mpira wa miguu ya walemavu, Salim Chombo amesema kama isingekuwa kupata ajali ya gari na kukatwa mguu mmoja, huenda angekuwa anatajwa katika ‘level’ za...
Viwanja vinne ‘kuwaka moto’ Ligi Kuu Bara UHONDO wa Ligi Kuu Bara unaendelea tena leo kwa mechi nne kupigwa kwenye viwanja mbalimbali, huku kila timu ikijipanga vizuri, baada ya kupisha kalenda ya Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA)...