Undani mchezo wa bao BAO ni moja ya michezo migumu ulimwenguni kutokana na mahesabu yaliyosheheni wakati wa wakucheza mchezo huo, jambo ambalo linahitaji umakini na weledi wa hali ya juu katika uchezaji kwake. Kila...
PRIME Acha inyeshe tujue panapovuja Dabi ya Kariakoo PRESHA ya mchezo wa ‘Kariakoo Dabi’ kwa mashabiki wa Yanga na Simba nchini tayari imeanza kupanda wakati ikibakia siku moja tu kwa miamba hiyo kushuka kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa kesho...
Mafua: Hadi Diamond aliwahi kukodi cheni kwangu BURUDANI yake kubwa siku zote kwake imekuwa kupanda juu ya ulingo kama msaidizi wa bondia na ikishindikana kwa bondia wa ndani basi usishangae kumuona akiwa kwenye kona ya bondia mpinzani hata...
PRIME Chama ana mechi mbili tu Simba UMEWAHI kumwona mwanadamu analia huku moyo wake unacheka? Umewahi kumwona mwanadamu anacheka huku moyo wake analia? Huwa inatokea mara nyingi tu, lakini ni vile Lady Jay Dee aliwahi kutuambia...
Bodi ya Ligi yavuna Sh27 milioni, yatembeza rungu zito Kamati ya Utendaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) katika kikao chake cha Oktoba 2, 2025 ilipitia mwenendo na matukio mbalimbali ya ligi na kufanya uamuzi kwa mujibu wa...
PRIME RIPOTI MAALUM-1: Anayewafelisha wanamichezo Bongo ni huyu UMEWAHI kujiuliza ni kipi hasa kinawafanya wanamichezo wa Kitanzania kushindwa kufanya vizuri hasa mashindano ya kimataifa? Weka kando mchezo wa mpira wa miguu ambao unatajwa kuwa ndiyo unapendwa...
PRIME Dabi ya Machi 8 Simba 1, Yanga 1 MASHABIKI wa soka hususani wa Simba na Yanga kwa sasa wanahesabu siku tu, kabla ya kuzishuhudia timu hizo zikishuka uwanjani katika pambano la marudiano la Dabi ya Kariakoo.
PRIME Jeuri ya Yanga inavyotunisha misuli HAKUNA namna kwamba wale wapinzani wa mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara, Yanga, msimu ujao wana kazi kubwa ya kufanya ili kuwafanya wababe hao wa Ligi Kuu Bara kwa misimu minne mfululizo...
MZEE WA UPUPU: Yanga na kishindo cha Italia KAMA kuna msimu ambao Yanga imetawala soka la Tanzania basi ni huu wa 2022/23. Ubingwa wa Ligi Kuu kibindoni tayari huku ubingwa wa Kombe la Shirikisho la Afrika ukisubiri. Yanga wako fainali ya...
Kinachoitesa Simba ni hiki... KUNA ukweli ambao mashabiki wa Simba wengi hawataki kuusikia kwa kuwa wameaminishwa msimu huu wana kikosi bora sana. Lakini ukisimama karibu na uwanja ukachunguza vizuri ufanisi wa kikosi cha...