PRIME Mazembe vs Esperance ni bonge la mechi kwa Mkapa LEO ndani ya Uwanja wa Mkapa jijini Dar es Salaam kinawaka tena, wakati ambapo TP Mazembe watakuwa uwanjani kuvaana na Esperance ya Tunisia kwenye michuano mipya ya African Football League.
PRIME Wenger aipa Tanzania mpango wa AFCON 2027 Kocha wa zamani wa Arsenal, Arsene Wenger amesema atashirikiana na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kuhakikisha timu ya taifa 'Taifa Stars' inakuwa na ushiriki mzuri kwenye fainali za...
AFL pamoto wikiendi hii... USIKU wa kuamkia leo Afrika na Dunia ilikuwa kwenye Uwanja wa Mkapa kushuhudia Simba ikikiwasha na Al Ahly katika ufunguzi wa michuano ya Africa Football League (AFL). Mechi ya jana imeacha...
PRIME Mo Dewji aweka Sh1 bilioni mezani, vigogo watangulia Misri TAJIRI na mwekezaji wa Simba, Mohammed Dewji ‘Mo’ na jopo lake, wamewawekea mezaji wachezaji Sh1 bilioni ili waitoe Al Ahly kwenye michuano ya Africa Football League. Katika michuano hiyo...
Mashabiki Simba wamuomba msamaha Kibu JITIHADA kubwa za kulisakama lango la Al Ahly katika mchezo wa jana zilikuwa zaidi miguuni mwa mshambuliaji Kibu Denis aliyefunga bao la kusawazisha. Ulikuwa mchezo mkali na wa kusisimua Simba...
MAONI: Kila la kheri Simba kwenye historia mpya LEO ndio leo kwenye historia ya soka la barani Afrika. Simba inakwenda kuandika historia mpya katika ufunguzi wa wa michuano ya African Football League ambayo yanazinduliwa kwenye |Uwanja wa...
Waamuzi wawili mechi za Simba ugenini wasimamishwa, Kamwe kimemkuta... Mwamuzi msaidizi namba mbili wa mechi ya Tanzania Prisons vs Simba ya Ligi Kuu iliyochezwa ugenini mkoani Mbeya, Nestory Livangala na mwamuzi msaidizi namba mbili Abdallah Bakenga wa Kigoma...
Zahera, Coastal Union ni suala muda tu Wakati wowote Coastal Union inaweza kuachana na kocha wake Mwinyi Zahera Mwanaspoti linafahamu kwa undani. Taarifa kutoka ndani ya Coastal Union ni kwamba Zahera amezuiwa kujiunga na timu hiyo...
PRIME Kwa mbinu hizi Al Ahly wanapasuka MECHI inayosubiriwa kwa hamu kubwa kwa sasa hapa nchini na Afrika kwa ujumla ni kati ya Simba na Al Ahly inayopigwa kwenye Uwanja wa Mkapa Ijumaa. Huo ni mchezo wa ufunguzi wa African Super...