Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

9020 results for Mwandishi :

  1. Manguli Simba wachoshwa na ukimya wa viongozi

    Manguli wa zamani wa Simba, hawaridhiki na hali ya mambo ndani ya klabu hiyo. Wameliambia Mwanaspoti jana baada ya kula ubwabwa wa Eid kwamba kuna ulazima wa viongozi wao (pichani) kujitokeza...

  2. Kocha achelewesha kambi Simba, msala mzima upo hivi!

    AWALI ilielezwa kambi ya Simba ingeanza rasmi leo Alhamisi kwa wachezaji wa zamani na wapya wangeanza kukutana Dar kabla ya kesho Ijumaa kufanya mkutano na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya...

  3. JKU yashikilia ubingwa wa Zanzibar mkono mmoja

    USHINDI wa bao 1-0 iliyopata JKU mbele la waliokuwa watetezi wa Ligi Kuu Zanzibar (ZPL), KMKM imewafanya vinara hao wa ligi hiyo kulishikilia taji kwa mkono mmoja na hii ni baada ya Zimamoto...

  4. Pacome kuikosa JKT Tanzania leo, awasubiria Coastal Union

    Kocha wa Yanga, Miguel Gamondi amesema kuwa kiungo wake Pacome Zouzoua badon hajawa tayari kutumika katika mechi dhidi ya JKT Tanzania leo kwenye Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo, Dar es Salaam...

  5. Ahly, Esperance fainali Mazembe, Mamelodi hoi

    MAMBO ni moto. Miamba ya soka ya Afrika, Al Ahly na Esperance Tunis ndiyo itakayochuana kwenye mchezo wa fainali wa Ligi ya Mabingwa Afrika msimu huu baada ya kuwasukuma nje wapinzani wao kwenye...

  6. PRIME Hizi hapa sababu tatu Matampi kuvaa jezi ya Simba

    SIMBA inahaha kumbakisha kipa wake namba moja, Ayoub Lakred ambaye anatingisha anataka kuondoka na kurejea Morocco lakini kukabiliana na presha hiyo, Wekundu hao wameanza mazungumzo na kipa namba...

    New Content Item (1)
  7. NIONAVYO: Riadha yetu inahitaji kazi ya ziada

    WIKIENDI iliyopita Jumamosi na Jumapili, Jiji la Dar es Salaam na nchi kwa jumla kulikuwa na shamrashamra na mashamushamu kutokana na matamasha mawili makubwa ya klabu maarufu za Simba na Yanga.

  8. Youssouph Dabo apewa "THANK YOU"

    Baada ya majadiliano makali kwenye kikao cha dharura, bodi ya Azam FC imefikia maamuzi ya kuliondoa benchi lote la ufundi chini ya kocha Yousouph Dabo.

  9. PRIME Yanga yabeba mabilioni baada ya kutwaa Ligi Kuu, FA

    Fedha ndefu! Hivyo ndiyo unaweza kusema baada ya Yanga kufanikiwa kutwaa ubingwa wa FA ambao unawafanya wakusanye kitita kikubwa cha fedha msimu huu baada ya awali kuchukua kombe la Ligi Kuu Bara.

  10. PRIME Dakika 45 za Manula alivyorejea Simba

    Jana Jumamosi, Aishi Salum Manula alirejea kwenye milingoti mitatu ya Simba tangu mara ya mwisho aonekane katika majukumu yake Machi 6 mwaka huu.

    Manula Pict
Previous

Page 638 of 902

Next