Caf yaanza na Coastal Union, Azam Shirikisho la Soka Afrika (Caf) limezitaka timu zinazoshiriki michuano ya kimataifa msimu ujao kukamilisha usajili wake mapema.
Kanuni za Ligi zawakutanisha Simba, Yanga mara tatu 2024/25 KANUNI za Ligi Kuu, zinalazimisha Yanga na Simba kukutana mara tatu msimu ujao ingawa inaweza kuwa zaidi ya hapo ikiwa zitafanya vyema katika mashindano mengine.
PRIME Yanga yabeba mabilioni baada ya kutwaa Ligi Kuu, FA Fedha ndefu! Hivyo ndiyo unaweza kusema baada ya Yanga kufanikiwa kutwaa ubingwa wa FA ambao unawafanya wakusanye kitita kikubwa cha fedha msimu huu baada ya awali kuchukua kombe la Ligi Kuu Bara.
Mbappe atua Madrid kibosi Endapo PSG ingemuuza staa huyo ingejipatia karibu Pauni 220 milioni (Euro 187.5 milioni) ya gharama ya jumla.
Bakari Machumu atangaza kustaafu MCL Baada ya miaka minne ya mafanikio ya kiuongozi akiwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL), Bakari Machumu ametangaza kustaafu ifikapo Agosti 31, 2024.
Kigogo atajwa, Mwakinyo atetea taji kimyakimya SAA 24 tangu kukwama kuzichapa Ijumaa na kujiweka hatarini kupoteza mkanda wa WBO Afrika kwa uzito Middle, hatimaye bondia Hassan Mwakinyo alilazimika kucheza juzi Jumamosi kimyakimya dhidi ya...
Simba, Yanga kupitisha fagio la chuma Duru za kispoti zimeliambia Mwanaspoti kwamba kuna fagio la chuma litaanza kupita Simba na Yanga kwenye kipindi kisichozidi wiki moja kuanzia leo. Ni fagio ambalo huenda likawa na sapraizi ambazo...
PRIME RIPOTI MAALUMU: Hali ya viwanja kabla na baada ya AFCON -3 VIWANJA ni miongoni mwa mahitaji makuu ya Shirikisho la Soka Afrika (Caf) katika kutoa haki za uenyeji wa fainali za mataifa ya Afrika (Afcon).
Kisa Yanga... Kinzumbi aliamsha na Katumbi WAKATI msafara wa maofisa wa Yanga ukijipanga kurudi tena kwa klabu ya TP Mazembe kuendeleza ushirikiano wao, ndani ya klabu hiyo bingwa wa DR Congo winga wao ameliamsha rasmi. Yule winga...
PUMZI YA MOTO: Mtoano, kupanda, kushuka, kubaki Ligi Kuu wazo zuri MWAKA 2018 kuelekea msimu mpya wa 2018/19, Bodi ya Ligi Kuu Tanzania ilikuwa na mojawapo wa mawazo bora kuwahi kutokea kwenye mpira wa Tanzania.