Miaka 130 ya Olimpiki Morogoro Wanamichezo mbalimbali nchini watashiriki mbio za kilomita 2.5 na kilomita 5 zitakazoanzia kwenye uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro kuadhimisha miaka 130 ya Olimpiki.
Korea Kaskazini ikifuzu Kombe la Dunia 2026 itakuwaje! Harakati za kufuzu Kombe la Dunia la 2026 litakalofanyika Marekani na Canada, zinaendelea duniani kote .
PRIME Yanga yamuita Mpole mezani, mchongo mzima uko hivi! MABOSI wa Yanga wakiendelea kumfuatilia kwa ukaribu Phillipe Kinzumbi wa TP Mazembe ya DR Congo aliyedaiwa kusaini kwa mabingwa wa Morocco, Raja Casablanca, lakini wanapiga hesabu kali mpya...
Zimamoto yabadili upepo ubingwa ZPL UPEPO umebadilika baada ya Zimamoto kupata ushindi wa tatu mfululizo ndani ya Juni katika Ligi Kuu ya Zanzibar (ZPL) na kuipumulia JKU inayoongoza msimamo wa ligi hiyo kwa muda mrefu...
Kina Pacome walivyozoa Sh7 bilioni Yanga Hii ina maana kuwa Yanga ambayo ilipata Sh2.3 bilioni baada ya kufika robo fainali ya michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika, kama ingemaliza kwenye tegeti yao ya hatua ya makundi basi ingekuwa na...
PRIME Yanga yashtuka usajili mpya, yajitafakari YANGA wameamua kurudi nyuma kwanza kuangalia kuna ulazima gani wa kusajili kiungo mkabaji mzawa ikiwa kuna uwezekano wa kuendelea kubaki na Jonas Mkude na Zawadi Mauya ambao watashirikiana vema...
Vita ya Aziz KI, Fei Toto yahamia Ligi ya wanawake ACHANA na ubingwa Ligio Kuu ya Wanawake (WPL) uliobebwa na Simba Queens, unaambiwa ligi hiyo haijaisha kwenye vita ya kimya kimya ya kuwania kiatu cha Mfungaji Bora wa msimu huu.
PRIME Yanga kwanza, Simba yamgeukia Dube SIMBA imemuwekea Prince Dube Sh.120Mil mezani ili amwage wino wakamalizane na Azam, akawachomolea waziwazi.
Wazir Junior aizamisha Chipolopolo kwao BAO la Straika wa Taifa Stars, Wazir Junior mapema tu dakika ya 5, limetosha kuizamisha Zambia nyumbani kwao katika mchezo wa kuwania kufuzu Kombe la Dunia 2026 uliochezwa leo Jumanne Juni 11, 2024.
PRIME Mo Dewji agoma kutoa pesa za usajili Simba, atoa masharti haya TAJIRI amemwaga mboga. Mwekezaji wa klabu ya Simba, Mohammed Dewji amesitisha kutoa fedha za usajili na huduma nyingine kwa timu hadi pale wajumbe wa bodi ya wakurugenzi wa klabu hiyo...