Maajabu! Mr Ibu azikwa sebuleni, baada ya siku 118 tangu afariki Hatimaye mwili wa mchekeshaji maarufu wa Nigeria, John Okafour 'Mr Ibu' umezikwa majuzi ikiwa ni baada ya kupitia siku 118 tangu alipofariki dunia, Machi 2 mwaka huu.
‘Moyo wa Manji ulikuwa Yanga’ Baada ya mwenyekiti na mfadhili wa zamani wa Yanga Yusuf Manji kufariki Jumamosi iliyopita, aliyekuwa mwanasheria wa timu hiyo, Onesmo Mpinzile ameeleza mengi kumhusu mfanyabiashara huyo.
Manji kuzikwa leo Florida Marekani Aliyewahi kuwa Mwenyekiti na Mfadhili wa Yanga, Yusuf Manji ambaye alifariki juzi Jumamosi anatarajiwa kuzikwa leo nchini Marekani.
Madina Idd aliona taji la gofu Zambia KUNA kila dalili ya Mtanzania Madina Iddi kushinda taji la ubingwa wa wazi la mashindano ya kimataifa ya gofu mjini Lusaka Zambia mwaka huu.
Hii ndiyo Yanga ya Chama KLABU ya Yanga imemtangaza aliyekuwa kiungo mshambuliaji wa Simba, Clatous Chama kuwa mchezaji wake baada ya kumaliza mkataba na waliokuwa waajiri wake wa zamani jana, Juni 30, 2024
PRIME Hii kiboko, Singida BS yapitisha fagio zito SINGIDA Black Stars imeamua. Klabu hiyo iliyokuwa ikifahamika kama Ihefu na kumaliza katika nafasi ya saba kwenye Ligi Kuu Bara iliyomalizika hivi karibuni, inaelezwa imekifanya kile...
Yusuf Manji afariki dunia TAARIFA zilizotufikia hivi punde ni kwamba aliyekuwa mwenyekiti na mfadhili wa klabu ya Yanga, Yusuf Manji amefariki dunia usiku wa jana huko Florida, Marekani.
Kigoma, Mara zabeba ndoo Taifa Cup TIMU ya kikapu ya wanaume ya Kigoma na wanawake ya Mara zimeibuka mabingwa wa mashindano ya Kikapu ya Taifa (CRDB Taifa Cup) yaliyomalizika juzi Jumamosi usiku kwenye Uwanja wa Chinangali, jijini...
Hatima ya Guede yaibua makundi mawili Yanga KUMEZUKA makundi mawili ndani ya Yanga juu ya hatima ya mshambuliaji Joseph Guede, huku kila moja likiwa na hoja zake kwamba jamaa abaki au apewe ‘thank you’.
Kocha achelewesha kambi Simba, msala mzima upo hivi! AWALI ilielezwa kambi ya Simba ingeanza rasmi leo Alhamisi kwa wachezaji wa zamani na wapya wangeanza kukutana Dar kabla ya kesho Ijumaa kufanya mkutano na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya...