Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

8214 results for Mwandishi Wetu :

  1. Simbu ajilipua Olimpiki 2024

    NAHODHA wa Tanzania katika Michezo ya Olimpiki, Alphonce Simbu ni kama amejilipua kwa kuahidi kwamba safari hii ataingia kwenye tatu bora ya michezo hiyo inayofanyikia Paris Ufaransa.

  2. Mikakati ya GBT katika mapambano dhidi ya mashine haramu za sloti ‘Dubwi’

    Michezo ya kubahatisha inajumuisha michezo ya aina mbalimbali ikiwemo Bahati Nasibu ya Taifa, kasino, michezo ya kubashiri matokeo (sports betting), michezo inayotumia jumbe fupi (SMS Lottery) na...

  3. Ligi ya mabingwa Afrika, Yanga kiulaini tu

    WAKATI klabu sita zitakazopeperusha bendera ya Tanzania katikamashindano ya klabu Afrika msimu ujao, zimekwepa mtego wa Shirikisho la Soka Afrika (Caf) baada ya kupata leseni ya ushiriki, upepo...

  4. Heri ya uzee wa kina Chama, kuliko ubishoo wa wazawa!

    NI kweli tunadanganywa. Na tunajua kabisa tunadanganywa na nyota wa kigeni wanaokuja kucheza soka la kulipwa hapa nchini. Tunajua wengi huwa na umri mkubwa zaidi ya ule uliopo katika pasipoti zao.

  5. Nabi amtaka Mayele, amuita Kaizer Chiefs

    Kocha mpya wa Kaizer Chiefs, Nasreddine Nabi ameuomba uongozi wake kuhakikisha unamsajili mshambuliaji wa Pyramids FC, Fiston Mayele kwa ajili ya kuimarisha safu yao ya ushambuliaji.

  6. Baraza la wadhamini Yanga matatani, Mwanasheria afunguka

    Yanga imepokea hukumu ya kutotambulika kwa Baraza la Wadhamini la klabu hiyo kufuatia hukumu iliyotolewa Agosti 2, 2023 na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.

  7. Wanamichezo saba mguu sawa Olimpiki

    KAMATI ya Olimpiki Tanzania (TOC) imesema msafara wa Tanzania kwenye michezo ya Olimpiki msimu huu utaondoka nchini kwa mafungu.

  8. PRIME HISIA ZANGU: Kuna hili la Fei Toto, halafu kuna lile la Aziz Ki

    KUNA suala la Fei Toto. Tukasikia na kuambiwa kwamba Simba inamtaka. Sasa hivi yupo katika kambi ya Azam nchini Morocco. Niliongea na watu wa Azam wakaniambia kwamba hawana habari hiyo na dau la...

  9. Yanga yashtuka, Chama, Dube, Baleke waondolewa!

    YANGA ni kama imeshtuka vile. Baada ya kuiona Simba ipo kambini Ismailia, Misri na kusikia Azam FC nayo imeondoka nchini kwenda Morocco kuweka kambi ya maandalizi ya msimu ujao, nao fasta...

  10. Gofu na Simba? Serengeti wana jibu

    SIO rahisi kuelezea msisimko ambao mcheza gofu ataupata wakati akicheza gofu huku akipishana na makundi ya Simba, Chui au Twiga.

Previous

Page 622 of 822

Next