Dah! Gamondi aondoka na utamu wake, rekodi zake ziko hivi Gamondi alijiunga na Yanga Juni 24, 2023 akichukua nafasi ya Mtunisia Nasreddine Nabi aliyeipa mataji mawili ya Ligi Kuu, mawili ya Kombe la Shirikisho (ASFC), mawili ya Ngao ya Jamii na...
PRIME Ramovic: Nataka makombe Yanga YANGA imemtambulisha rasmi kocha Mjerumani Sead Ramovic kama mbadala wa Miguel Gamondi waliyeachana naye rasmi jana, Ijumaa mchana.
Mashabiki washangazwa Yanga kumtimua Gamondi Baada ya Yanga leo Ijumaa Novemba 15, 2024 kutoa taarifa ya kumtimua kocha wao Miguel Gamondi bila kutaja sababu, mashabiki wa timu hiyo wamegawanyika katika mitandao ya kijamii.
Mfahamu King Kazu babu anayecheza Ligi ya Japan NI mazoea kwa wanasoka wengi duniani wamekuwa wakiachana na soka mara baada ya kufikisha miaka 33, lakini mambo ni tofauti kwa Kazuyoshi Miura ambaye ameishangaza dunia.
TPA yatembeza vipigo SHIMMUTA Timu za Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) zinazoshiriki michezo ya SHIMMUTA inayoendelea mjini Tanga, zimekuwa moto wa kuotea mbali baada ya kutembeza vipigo mfululizo kwa wapinzani...
PRIME Kocha mpya aifumua Yanga, Moallin... JUZI tulishuhudia Kocha mpya wa Manchester United, Ruben Amorim akitua klabuni hapo akitokea Sporting Lisbon akiwa na wasaidizi wake watano. Wale aliowakuta akiwemo kocha wa muda, Rud van...
Msikie Awesu kuhusu Maxi Zengeli KIUNGO mshambuliaji wa Simba, Awesu Awesu amemtaja Maxi Nzengeli wa Yanga ni mchezaji mzalendo ndani ya timu yake ambaye anapambana kuhakikisha kila kitu kinakwenda sawa.
TBF yalamba Sh194 milioni BetPawa KAMPUNI ya michezo ya kubashiri ya BetPawa imetangaza udhamini wa Sh194.8 milioni kwa ajili ya Ligi ya Taifa ya Mpira wa Kikapu (NBL) inayoendeshwa na Shirikisho la Mpira wa Kikapu Tanzania (TBF)...
Krismasi vicheko, vilio EPL LIGI Kuu England itarejea tena Novemba 23, ambapo kuanzia hapo hakutakuwa na mapumziko tena hadi mwakani na katika kipindi chote hadi kufikia Desemba 30, kila timu itakuwa imecheza mechi nane za...
Tyson, Paul hatihati kuzichapa LILE pambano kali linalosubiriwa kwa hamu kati ya nguli wa mchezo huo, Mike Iron Tyson dhidi ya Jake Paul, huenda likasitishwa kutokana na tatizo la kiafya lililomkumba bingwa huyo wa zamani wa...