Kiulaini Arsenal kwa Madrid basi tu UCL LIGI ya Mabingwa Ulaya inaendelea leo kwa michezo miwili ya robo fainali kupigwa, lakini mechi inayotarajiwa kutazamwa zaidi na watu wengi ni ile kati ya Arsenal na Real Madrid ambayo ni ya...
Ronaldo, Messi Uso kwa uso Buenos Aires MASTAA Cristiano Ronaldo na Lionel Messi wanaweza kuwa sehemu ya timu moja kwa mara ya kwanza katika maisha yao ya soka, ripoti zinaeleza.
Tiketi za ubingwa Liverpool ni milioni 11 LEO ni siku maalumu kwa mashabiki wa soka wa Liverpool. Licha ya ukweli huenda ikawa siku ya maumivu kwa majirani zao Everton na wapinzani wao Manchester United, lakini hii ni siku muhimu sana...
Meridian Bet Tanzania | Jinsi ya kujisajili | www.meridianbet.co.tz | Promo code: 1109 Meridian bet Tanzania nikampuni ya kubeti nchini tanzania iliyosajiliwa kwa mujibu wa sheria. Katika kampuni hii unaweza kubeti au kucheza Casino Mtandaoni.
Sababu za Dembele kuikosa Arsenal leo Staa wa PSG Ousmane Dembele, ataukosa mchezo wa leo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Arsenal baada ya kukorofishana na kocha wa timu hiyo Luis Enrique.
Gor Mahia, Al Ahly kazi ipo MASHABIKI wa soka nchini sambamba na wale wa ukanda wa Afrika Masharikia leo watapata burudani ya aina yake ya kuwashuhudia Mabingwa wa Kenya, Gor Mahia watakapokuwa wakitunishiana misuli na...
KMKM yazindukia Mwembe Makumbi MABINGWA wa zamani wa Zanzibar, KMKM juzi jioni walizinduka katika mfululizo wa mechi za Ligi Kuu visiwani humo (ZPL) baada ya kuifumua Mwembe Makumbi City kwa mabao 2-1 baada ya awali kuanza...
JKU kupewa ndoo ya ubingwa kecho New Amaan Complex MAAFANDE wa JKU imemaliza ubishi kwa kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Zanzibar (ZPL) baada ya kutoka sare ya 1-1 na Kipanga, na kesho jumapili itakabidhiwa taji hilo katika sherehe zitakazoenda...
Madina yupo tayari kwa vita Zambia NYOTA wa timu ya taifa ya Gofu ya Wanawake ya Tanzania kutoka Arusha, Madina Idd amekuwa ni Mtanzania wa pili kuthibitisha ushiriki wa mashindano ya wazi ya ubingwa wa gofu yanayotarajiwa kupigwa...
DTB yabeba ndoo ya mabenki Dar Timu ya Soka ya Diamond Trust Bank (DTB) imetawazwa kuwa bingwa mpya wa mashindano ya mabenki msimu huu yaliyofikia tamati usiku wa jana Agosti Mosi kwenye viwanja vya klabu ya Gymkhana, Dar es...