Aussems atuliza Ingwe MASHABIKI wa AFC Leopards sasa wanaweza kutuliza presha baada ya kocha mkuu wao, Patrick Aussems ‘Uchebe’, kuwahakikishia atarudi tena kuiongoza Ingwe kusaka ubingwa wa Ligi Kuu Kenya msimu huu.
Mayele: Ubingwa tayari, bado kiatu tu MSHAMBULIAJI wa Yanga, Fiston Mayele amesema malengo yake kwenye Ligi Kuu Bara yalikuwa mawili kuhakikisha Yanga inachukua taji baada ya kulikosa kwa misimu minne kisha kufikia rekodi yake ya...
Mbeya City yaitangazia vita Simba SIMBA juzi walikuwa jijini Mwanza wakimalizana na Polisi Tanzania, kabla ya kuanza safari ya kurudi jijini Dar es Salaam kujiandaa kuvaana na Mbeya City, iliyowapiga mkwara kwamba wajiandae...
Diwani Cup Kata Kijitonyama kuanza Juni Dar es Salaam. Jumla ya timu 20 zinatarajia kushiriki katika mashindano ya kuwania kombe la Diwani wa Kijitonyama (Diwani Cup) lilolopangwa kufanyika mwezi Juni mwaka huu. Akizungumza na gazeti...
Phiri: Simba kuna kitu KIKOSI cha Simba jioni ya leo kinatarajiwa kushuka Uwanja wa Manungu, Turiani kuvaana na Mtibwa Sugar katika pambano la Ligi Kuu Bara, ikiwa ni siku chache tangu itoke kufanya kweli kwenye...
Vigogo CAF kukutana leo Morocco kujadili CAF Super League Kamati ya utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) inatarajia kukutana leo huko Rabat, Morocco kuanzia saa 1 usiku kwa muda wa Afrika Mashariki. Kikao hicho cha Kamati ya Utendaji...
Washindi Betika mtoko wa Kibingwa watua Dar Washindi kwenye promosheni ya Betika Mtoko wa Kibingwa iliyotoa fursa kwa mashabiki 24 wa Simba na Yanga kushuhudia mchezo wa dabi, wamewasili jijini Dar es Salaam leo tayari kuungana na...
Mbio za Saifee kusaidia Wanawake JANA jijini Dar es Salaam zilifanyika mbio maalumu kwaajili ya kuchangia matibabu ya saratani ya matiti kwa wanawake. Mbio hizo zilizoandaliwa na Hospital ya Saifee, ziligawanywa kwa kilometa...
Huu hapa wasifu wa Mbrazil Yanga Kocha mpya ambaye anatarajiwa kujiunga na Yanga ni raia wa Brazil, Roberto Oliveira anayeinoa Vipers ya Uganda. Kocha huyo ndiye aliyeifunga Yanga kwenye kilele cha Siku ya Mwananchi jijini Dar...
PRIME Pitso amkingia kifua Nabi Sauzi KOCHA mzoefu kwenye soka la Afrika, Pitso Mosimane, aliyesaini dili nono huko Saudia, amesema aliyekuwa kocha wa Yanga, Nasreddine Nabi anafaa kuifundisha Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini.