Chelle aipongeza Super Eagles, afichua siri ya ushindi Kocha mkuu wa Super Eagles, Eric Chelle, ameshindwa kuficha furaha yake baada ya ushindi wa mkubwa wa 4–1 dhidi ya Gabon katika mechi ya nusu fainali ya mchujo wa Kombe la Dunia 2026, iliyochezwa...
Kisa kadi nyekundu, Martinez amkingia kifua Ronaldo Kocha wa timu ya taifa ya Ureno, Roberto Martínez, amemkingia kifua nahodha na mshambuliaji wa kikosi hicho, Cristiano Ronaldo, kufuatia adhabu ya kadi nyekundu aliyopewa katika mechi ya kufuzu...
Jamie Carragher: Slot, piga chini Mo Salah STAA wa zamani wa Liverpool, Jamie Carragher amemwambia kocha wa miamba hiyo ya Anfield, Arne Slot anapaswa kumpiga chini Mohamed Salah endapo staa huyo wa Misri ataendelea kufanya hovyo uwanjani.
Barca bado yamtaka Kane akamrithi Lewandowski BARCELONA inamwangalia straika wa Bayern Munich na timu ya taifa ya England, Harry Kane, 32, kama mbadala wa mshambuliaji wao wa kimataifa wa Poland, Robert Lewandowski, 37, ambaye ataondoka...
Mbrazili wa Real Madrid afunguka mazito KUISHI kwingi, kuona mengi. Ndicho unachoweza kusema baada ya mchezaji Cicinho kuibuka na kufichua kwamba alikuwa akinywa bia 10 kwa siku na alikuwa akienda mazoezini kwenye kikosi chake cha Real...
Amorim kugeukia madogo Man United MANCHESTER United imefichua kwamba itahamia kwenye akademia yao kuchukua makinda wenye viwango bora wakati mastaa wa kikosi cha kwanza watakapokwenda kucheza michuano ya Afcon pamoja na kupata...
Conte, Napoli wakati wowote mazingira yatabadilika KIBARUA cha kocha Antonio Conte huko Napoli kipo kwenye hali ya sintofahamu kutokana na kile kilichotokea wikiendi iliyopita.
Calafiori azua hofu Arsenal ARSENAL inahaha kwa sasa kijasho kikiwatoka kuhusu ufiti wa beki wake Riccardo Calafiori baada ya Mtaliano huyo kukosa mechi ya nchi yake ya Italia dhidi ya Moldova kwenye mikikimikiki ya kufuzu...
David Raya: Zubimendi ndiye mchezaji anayenivutia Arsenal Kipa wa Arsenal, David Raya, amemchagua mchezaji aliyejiunga na klabu hiyo msimu huu wa majira ya joto ambaye amemvutia zaidi, akiwaacha wachezaji kama Viktor Gyokeres na Eberechi Eze.