Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

8037 results for Mwandishi Wetu :

  1. Afrika yatikisa Kombe la Dunia U20

    Timu tatu kati ya nne za Afrika zimefanikiwa kutinga hatua ya 16 ya Fainali za Kombe la Dunia la Vijana Chini ya Umri wa miaka 20 zinazoendelea nchini Chile.

  2. Staa Mexico atuhumiwa kwa unyanyasaji kingono

    Mchezaji wa zamani wa Chivas de Guadalajara, Omar Bravo, amekamatwa Jumamosi Oktoba 4, 2025 kwa tuhuma za unyanyasaji wa kingono dhidi ya mtoto wa kike ambaye hakutajwa jina, kama...

  3. Guardiola kuwakutanisha mezani Ferguson, Wenger

    Kufikisha ushindi wa 250 katika Ligi Kuu England ni mafanikio makubwa yanayohitaji aina maalum ya sherehe. Kupitia hilo, Pep Guardiola amepanga kuwakutanisha Sir Alex Ferguson na Arsene Wenger...

  4. Messi aweka rekodi mpya Marekani

    Lionel Messi anaendelea kuthibitisha kuwa mchango wake katika Ligi Kuu ya Soka Marekani (MLS) hauna kifani. Katika mchezo dhidi ya New England Revolution, nahodha huyo wa Inter Miami alitoa...

  5. Pep Guardiola amaliza utata ishu ya Erling Haaland

    KOCHA wa Manchester City, Pep Guardiola amezima uvumi unaomhusisha Erling Haaland na kuhamia Barcelona, akisisitiza kuwa mshambuliaji huyo “sio mjing ” kiasi cha kutaka kuondoka Manchester City...

    GUARDIOLA
  6. Utani wamponza staa Chelsea

    MASHABIKI wa Chelsea walikasirishwa sana na kitendo cha mchezaji wao Jorrel Hato kuonekana akimfanyia utani kwa kumrukia staa wao mwingine Cole Palmer ambaye kwa sasa yupo nje kutokana na majeraha.

    CHELSEA Pict
  7. MAGIC: Fundi mwingine anayetajirika baada ya kustaafu

    KATIKA mpira wa kikapu kwa sasa, wachezaji ambao wanaongoza kwa utajiri kijumla sio wale wanaocheza bali waliostaafu tena zamani.

    ATM Pict
  8. Wachambuzi, malejendi wamvaa kocha Man United

    MCHEZAJI wa zamani wa Manchester United, Gary Neville amekosoa vikali madai ya Ruben Amorim kwamba wachambuzi wanashawishi wachezaji wa timu hiyo na kumtaka asijifiche na kulaumu watu wengine.

    AMORIM Pict
  9. PRIME Hatimaye ile ishu ya Folz mabosi wamekubaliana

    Soma hapa

    FOLZ Pict (1)
  10. Arteta afafanua ishu ya Odegaard, Rice

    KOCHA wa Arsenal, Mikel Arteta amesema kapteni wa timu yake, Martin Odegaard pamoja na kiungo Declan Rice walioshindwa kuendelea katika mechi dhidi ya West Ham wamepata majeraha ambayo...

    ARTETA Pict
Previous

Page 314 of 804

Next