Video Sir Nature afunguka kuhusu muziki wa sasa, AI na maadili ya wasanii Jumapili, Septemba 13, 2026
Simba yaichakaza Mighty Wanderers, yatinga raundi ya pili kibabe SIMBA haina utani. Imefanikiwa kuitafuna Mighty Wanderers kwa ushindi wa mabao 6-1 ikitinga hatua ya pili ya mtoano wa Ligi ya Mabingwa Afrika.
KVZ yatupwa nje CAF ikichapwa 3-0 nyumbani ASSWEHLY SC imefanikiwa kutinga hatua ya pili ya Ligi ya Mabingwa Afrika baada kuondoka na ushindi wa mabao 3-0 katika ardhi ya Zanzibar katika mchezo wa marudiano dhidi ya KVZ uliochezwa leo...