Hii ndo siri Shakira kuonekana ‘mtoto’ KUMEKUWA na mijadala mingi mtandaoni kuhusu umri wa mwanamuziki nyota wa Colombia, Shakira na namna anavyoonekana kuwa kama motto wa 2000.
Mastaa Bongo wanavotoa albamu kwa kujipima ubavu Kila mara wanamuziki wa Bongo Fleva wanatoa albamu na Extended Playlist (EP) kwa ajili ya mashabiki wao, na mwishowe wapate fedha kutokana na mauzo hasa ya mtandaoni.