Fei Toto, Mayele kukutana uso kwa uso New Amaan Complex AZAM FC inatarajia kuanza safari yake ya pili mfululizo katika hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika kwa kuvaana na Al Ahli Tripoli ya Libya leo Ijumaa kwenye Uwanja wa New Amaan...