Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Mastaa Yanga wamtibua Ramovic, atoa msimamo mkali dirisha dogo

Muktasari:

  • Lakini kocha wao, Sead Ramovic ameibuka na mkakati ambao anaamini utasaidia kurejesha kasi ya uwajibikaji kikosini hapo hususani kwenye mechi za kimataifa ambako piga ua lazima Yanga ipate pointi tatu katika mechi ijayo dhidi ya TP Mazembe ugenini kama bado inahitaji kucheza robo ya Ligi ya Mabingwa.