Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Fadlu ageuka mbogo Simba, acharukia mastaa

Muktasari:

  • Simba ilicheza na kushinda mechi hizo za viporo dhidi ya Mashujaa iliyoifunga mabao 2-1, ikailaza JKT Tanzania kwa bao 1-0 kisha kuicharaza Pamba Jiji 5-1 na juzi ikailaza KMC mabao 2-1 na kuvuna pointi 12 zilizopunguza pengo la pointi baina ya timu hiyo na vinara Yanga kutoka 13 hadi kuwa moja.