Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

20 Percent awatonya mastaa wa Simba mbinu za kutwaa ubingwa

Muktasari:

"Naamini kwamba Simba, wamesajili kikosi makini kwa msimu huu, kazi ni kwa wachezaji wenyewe kujituma hadi kieleweke hilo litawafanya waheshimike mbele ya jamii ya soka,"anasema.

Msanii wa muziki wa kizazi kipya, 20 Percent amewaambia nyota wa Simba kwamba wakionyesha juhudi zao hadi tone la mwisho ndipo watafikia malengo ya ubingwa kwa msimu huu.
"Naamini kwamba Simba, wamesajili kikosi makini kwa msimu huu, kazi ni kwa wachezaji wenyewe kujituma hadi kieleweke hilo litawafanya waheshimike mbele ya jamii ya soka,"anasema.
Msanii huyo hafichi mahaba yake juu ya kuipenda Simba na ndicho kitu kinachomfanya ashauri mastaa wa timu hiyo kupambana ili kuonyesha kwamba wanaweza kuleta mabadiliko katika msimu huu.
"Asikuambie mtu kazi nzuri inajitangaza yenyewe wakijituma heshima yao itatokana na matunda ya kile kilichopatikana kwa msimu huu,"anasema.