PRIME Yanga yaitisha Simba kwa Inonga, mkanda mzima upo hivi HENOCK Inonga ameomba udhuru aende Ufaransa kupumzika, lakini kuna machale yanawacheza viongozi wa Simba juu ya uamuzi wa beki huyo kufosi kuondoka hasa wakikumbuka awali kabla ya kutua Msimbazi...
Hii hapa mikakati ya Simba ikifumuliwa, kusuka upya kikosi SIMBA imekubali yaishe baada ya watani zao wa jadi Yanga kubeba ubingwa wa ligi kwa mara ya tatu mfululizo, jambo lililowaumiza Wekundu wa Msimbazi hao na sasa timu hiyo inaenda kufumuliwa na...
Coastal, Azam nusu fainali ya kibabe FA KESHO mchezo wa nusu fainali ya kwanza Kombe la Shirikisho utachezwa katika Uwanja wa CCM Kirumba, jijini Mwanza kati ya Coastal Union dhidi ya Azam FC, huku vita kubwa ikiwa ni kusaka nafasi ya...
MZEE WA FACT: Kama Refa angekuwa Sikazwe, Madrid isingetwaa ubingwa Rudi nyuma hadi Januari 12, 2022, wakati wa mashindano ya AFCON 2021, mchezo wa hatua ya makundi kati ya Tunisia na Mali.
Lomalisa: Mziki wa kina Pacome, Yao si mchezo BEKI wa Yanga, Joyce Lomalisa amesema ujio wa Pacome Zouzoua, Attohoula Yao umechangia kwa kiasi kikubwa timu yao kutwaa taji la tatu mfululizo ambalo ni la 30 tangu wameanza kushiriki Ligi Kuu...
Frank Komba na rekodi ya miaka kumi beji ya Fifa Jina la Frank Komba sio geni na linafahamika sana na wadau wa mpira wa miguu kutokana na kile ambacho amekuwa akiufanyia mchezo huo.
Samasoti baharini inayolipa vijana mkwanja wa maana MAKACHU ni mchezo unaochezwa sana maeneo ya Forodhani, Zanzibar katika Bahari ya Hindi, kwa wachezaji kujirusha umbali mrefu kutoka nchi kavu hadi majini. Lakini, nyuma ya mchezo huo kuna...
Simba, KVZ zaanza kufukuzia mil 50 WAKATI KVZ ikiialika Simba katika mchezo wa kwanza wa Ligi ya Muungano leo kuanzia saa 2:15 usiku katika Uwanja wa Amaan, timu zinazoshiriki zimetangaziwa zawadi ya Sh50 milioni kwa itakayobeba...
Raska Zone hesabu kali wakiitisha KVZ Nahodha wa kikosi hicho, Ramadhan Yussuf Isaa alisema licha ya kuwepo kwenye mapumziko ya mwezi mmoja lakini wamerudi wakiwa na nguvu na ari mpya na wapo tayari kuipambania timu hiyo.
JELLAH: Nahodha Stars aliyeteseka kwa miaka 20 kitandani NGULI wa zamani wa Taifa Stars, Jella Mtagwa alifariki dunia juzi jijini Dar es Salaam baada ya kuteseka kitandani kwa miaka 20. Tunarudia sehemu ya mahojiano yake na Mwanaspoti akiwa kitandani...
Dabi ya Mashemeji... K'Ogalo yaizamisha tena Ingwe BAO pekee la dakika 30 lililowekwa kimiani na Austine Odhiambo limeiwezesha Gor Mahia kuizamisha tena AFC Leopards katika pambano la Dabi ya Mashemeji lililopigwa jioni ya leo Jumapili, jijini...
Usiku wa wababe wa Afrika Leo kutakuwa na kivumbi haswa wakati ambapo mabingwa wa kihistoria kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika Al Ahly watavaana na Espérance de Tunis kwenye fainali.