Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Watoto Kigoma wanogewa na kikapu

Muktasari:

  • Akizungumza na Mwanaspoti kwa njia ya simu kutoka Kigoima, katibu huyo alisema mafunzo hayo yamekuwa yakitolewa mara mbili kwa wiki, Jumamosi na Jumapili na wazazi wamekuwa wakiwaruhusu watoto kuja kushiriki katika Uwanja wa Lake side.

KATIBU Mkuu wa Chama cha Mpira wa Kikapu Mkoa wa Kigoma, Aq Qassim Anasi amesema idadi ya watoto wanaojifunza mchezo huo imeongezeka.

Akizungumza na Mwanaspoti kwa njia ya simu kutoka Kigoima, katibu huyo alisema mafunzo hayo yamekuwa yakitolewa mara mbili kwa wiki, Jumamosi na Jumapili na wazazi wamekuwa wakiwaruhusu watoto kuja kushiriki katika Uwanja wa Lake side.

“Kwa kweli  wazazi wa vijana hao wameonyesha nia ya kutaka vijana wao wajifunze mchezo huo,” alisema Anasi.

Wakati huo huo, alisema uongozi wa kikapu wa mkoa huo unatarajia kukutana kujadiliana kuhusu ushiriki wao katika mashindano ya CRDB Taifa Cup, baada ya kupokea barua ya ushiriki mwaka huu na moja ajenda  watakayoijadili ni kutafuta fedha za maandalizi ya timu ya mkoa huo.

Mashindano hayo yamepangwa kuanza Juni 19-29, katika viwanja vya Chinangali mkoani Dodoma.