Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

8543 results for Mwandishi Wetu :

  1. Simon Kalika aiacha hatima ya Super Eagle mikononi mwa Chelle

    Kocha msaidizi wa zamani wa timu ya taifa ya Nigeria maarufu Super Eagles, Simon Kalika, amemtaka kocha mkuu wa sasa wa timu hiyo, Eric Chelle kuendelea na mikakati yeke sahihi, ili kuhakikisha...

    KALIKA Pict
  2. Ancelotti: Nina imani kubwa na Alonso pale Real Madrid

    Kwa mara ya kwanza kocha mkuu wa timu ya taifa ya Brazil, Carlo Ancelotti, amempongeza kocha wa Real Madrid, Xabi Alonso, huku akimtabiria mambo mazuri katika utendaji wake wa kazi huko Santiago...

    CARLO Pict
  3. Ishu ya posho za wachezaji Super Eagles yamshangaza staa EPL

    Mchezaji wa zamani aliyetamba na klabu ya Watford katika Ligi Kuu ya England, Troy Deeney, ameshangazwa na kitendo cha wachezaji wa timu ya taifa ya Nigeria, Super Eagles, kususia mazoezi kwa...

    POSHO Pict
  4. Ancelotti ataja mechi nne zilizompa presha Real Madrid

    Kocha mkuu wa timu ya taifa ya Brazil, Carlo Ancelotti, ametaja mechi nne zilizompa ‘presha’ katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya (UEFA Champions League) ambayo Real Madrid hawataisahau kamwe.

    ANCELOTTI Pict
  5. Jake kumrudisha ulingoni Anthony Joshua, kuzichapa Desemba 2025

    Bondia wa England, Anthony Joshua anatarajia kupambana na Jake Paul kutoka Marekani katika pambano kubwa la uzani wa juu litakalofanyika mjini Miami mapema mwezi Desemba 2025.

    JOSHUA Pict
  6. Dili jipya la Saka Emirates kufuru

    ARSENAL inaamini itashinda vita ya kumshawishi winga wao matata kabisa, Bukayo Saka juu ya kusaini dili jipya kwenye timu hiyo baada ya majadiliano ya muda mrefu.

  7. Mbrazili Oscar azua hofu Brazil

    KIUNGO wa soka wa Kibrazili, Oscar amelazimika kuwahishwa hospitalini baada ya kuanguka ghafla akiwa mazoezini huko Sao Paulo.

  8. Ronaldo ataja mwisho wake

    SUPASTAA, Cristiano Ronaldo amethibitisha kwamba fainali za Kombe la Dunia 2026 zitakuwa za mwisho kwake kwenye mchezo wa soka.

  9. Sterling awatishia kisu wezi kwake

    STAA, Raheem Sterling alikabiliana na wezi waliovamia nyumbani kwake kwa kuwashikia kisu katika tukio la kutisha lililotokea hivi karibuni akiwa na familia yake.

    New Content Item (1)
  10. Klabu UIaya zamiminika kumgombania Ivan Toney

    KLABU kadhaa za Ligi Kuu England ambazo ni pamoja na Tottenham Hotspur na Aston Villa zinaonyesha nia ya kumsajili straika wa kimataifa wa England Ivan Toney anayeichezea Al-Ahli ya Saudi Arabia.

Previous

Page 318 of 855

Next