Video HILI NDIO JOPO LA VIONGOZI YANGA WATUA MAKAO MAKUU BODI YA LIGI KUJADILI HATIMA DABI YA KARIAKOO Ijumaa, Juni 13, 2025
PRIME Ayoub Lakred, Simba kuna kitu MSIMBAZI kuna kitu kinaendelea chini kwa chini wakati macho ya mashabiki wa Simba yakielekezwa kwenye sakata la dabi, nyuma ya pazia jina la kipa Ayoub Lakred limeanza kuzungumziwa kwenye korido...
PRIME Mzigo wa Kariakoo Dabi umerudi MZIGO umerudi. Ndivyo unavyoweza kusema kwa ishu ya Dabi baada ya sasa kutangazwa itapigwa Juni 25 na si keshokutwa Jumapili kama ilivyokuwa awali.
Mnguto ajiuzulu, Karia amsimamisha Kasongo TPLB Saa chache baada ya Bodi ya Ligi Tanzania (TPLB), kupanga tarehe ya mchezo wa Yanga dhidi ya Simba, Mwenyekiti wake Steven Mnguto amejiuzulu.