Rayon Sports yaifuata Gor Mahia fainali Kagame MIAMBA ya soka la Rwanda, Rayon Sports, imetinga fainali ya Kombe la CECAFA Kagame 2026 baada ya kuichapa Jamus SC ya Sudan Kusini mabao 3-1 katika mchezo wa nusu fainali uliochezwa kwenye Uwanja...