Msama: Tamasha la Pasaka mambo yote yapo sawa, nyie tu Ikiwa imebaki siku moja kufanyika kwa tamasha la Pasaka uongozi wa kampuni inayoandaa tamasha hilo umesema kila kitu kinaenda vizuri. Hayo yamesemwa leo Jumamosi Aprili 8, 2023 na Mkurugenzi wa...
Waarabu waitibulia Azam kwa Ibenge MABOSI wa Azam FC walikuwa wakikuna kichwa wakimpigia hesabu kocha wa Al Hilal ya Sudan, Florent Ibenge ili aje kukinoa kikosi hicho, lakini matajiri wa kiarabu wa timu hiyo wametibua dili baada...
Waamuzi wapewa onyo zito SIKU chache baada ya waamuzi wa soka visiwani Pemba kupewa mafunzo maalumu kwa ajili ya Ligi Kuu ya Zanzibar, Shirikisho la Soka Zanzibar (ZFF), limesema halitamvumilia mwamuzi yeyote...
Kampuni ya Mwananchi ni mwendo wa kidijitali zaidi Ili kufanya hivyo, mtumiaji wa tovuti hizo atatakiwa kulipia Sh500 kwa siku, Sh3,000 kwa wiki, Sh15,000 kwa mwezi na Sh91,000 kwa mwaka mzima.
Skudu aja na mbinu mpya Yanga WINGA wa Yanga kutoka Afrika Kusini, Mahlatse Makudubela 'Skudu', amesema amegundua mbinu mpya ya kupata muda zaidi wa kucheza kikosini. Skudu aliyeanza kukitumikia kikosi hicho msimu huu...
Mtoano Uefa...waache wauane Mwisho wa maneno maneno umefika. Ndicho unachoweza kusema baada ya droo ya hatua ya mtoano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya ya 16 bora kupangwa, huku Arsenal ikipewa bingwa wa zamani wa michuano hiyo.
General Sport’s yang'ara Chipkizi 2023 TIMU ya General Sports kutoka jijini Dar es Salaam imeng'ara katika michuano ya Kombe la Chipkizi 2023 kwa vijana yaliyofanyika Arusha. Katika michuano hiyo General Sports iliibuka mabingwa kwa...
PRIME Gamondi amkomalia Guede Yanga inaendelea kujifua kwa ajili ya kumalizia viporo vya mechi za Ligi Kuu Bara, Kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) na michezo ya mwisho ya hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika, lakini...
Yanga yaifuata Ahly na hesabu hizi Kikosi cha Yanga kimeondoka nchini leo jioni kikiacha staa mmoja huku mabosi wao wakitanganza hesabu zao mpya mbele ya Al Ahly. Yanga itakutana na Al Ahly kwenye mchezo wa kukamilisha makundi...
Singida watamba Twende Olimpiki 2024 MKOA wa Singida umetamba katika Tamasha la Michezo la Twende Olimpiki lililomalizika jana hapa. Singida walitwaa ubingwa katika soka la wavulana na wasichana baada ya kuwafunga Mbeya kwa mabao...