PRIME Pitso amkingia kifua Nabi Sauzi KOCHA mzoefu kwenye soka la Afrika, Pitso Mosimane, aliyesaini dili nono huko Saudia, amesema aliyekuwa kocha wa Yanga, Nasreddine Nabi anafaa kuifundisha Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini.
Simba yaenda Misri kwa mafungu KIKOSI cha Simba kimeondoka nchini leo Julai 14 mchana kwenda nchini Misri huku katika msafara wao walikuwepo wachezaji 19, benchi la ufundi pamoja na kiongozi mmoja ambaye ni Meneja wa habari na...
Gamondi: Hii tuzo yenu Wananchi Kocha Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi amechekelea hatua ya kupata tuzo yake ya kwanza nchini akiwa kocha bora wa mwezi huku akiitoa kwa mashabiki wa timu hiyo. Kupitia taarifa iliyotolewa jana na...
Nabi atia neno usajili Yanga, kufunguka Agosti 31 Kocha wa Yanga, Nasredine Nabi amesema kwa kiasi kikubwa uongozi wa timu hiyo, umeifanyia kazi ripoti yake katika mapendekezo ya usajili kama vile ambavyo alikuwa anahitaji. Nabi alisema awali...
Sita Yanga ngoma nzito, yumo Saido, Nchimbi, Nabi awakomalia... KIKOSI cha Yanga kinaendelea kujifua kujiandaa na mechi zao zijazo za Ligi Kuu Bara, huku kocha wao, Nasreddine Nabi akikomaa nao gym kabla ya kurejea kuwapigisha tizi la uwanjani, lakini kuna...
Diamond uso kwa uso na Snoop Dogg Unaweza kusema ni hasira za kukosa tuzo za ‘Bet Award’ au tamaa za mafanikio, hiyo ni baada ya msanii Diamond Platnumz kuonekana kwenye picha mbalimbali akiwa studio na msanii staa kutoka...
Simba yabariki Barbara kusepa, kusaka mrithi wake Barbara aliteuliwa kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Simba mwaka 2020 kuchukua nafasi ya Senzo Mazingiza ambaye ni raia wa Afrika Kusini aliyejiuzulu na kujiunga na wapinzani wao Klabu ya Yanga.
Yanga yatenga bajeti ya Sh20 bilioni msimu ujao KLABU ya Yanga imetenga bajeti ya Sh20.8 bilioni kwa ajili ya msimu ujao wa mashindano mbalimbali ya ndani na ya kimataifa. Akizungumza katika mkutano mkuu wa klabu hiyo Mkurugenzi wa Fedha...
Kocha Mtunisia atua Yanga, aanza hivi KAMA Mwanaspoti lilivyokufichulia mara ya kwanza jana ni kwamba Mtunisia Nasreddine Nabi ndiye kocha mpya wa Yanga na atatua nchini leo saa 7:30 mchana.
Nabi ashtuka...dirisha dogo Yanga inaleta kitu KIKOSI cha Yanga kipo Lindi kwa mchezo wao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Namungo, huku benchi lake la ufundi chini ya Kocha Nasreddine Nabi likianza hesabu ya kufanya usajili kupitia dirisha dogo.