Kisubi Simba, Mkandala Yanga MTAANI kuna tetesi zinazomtaja kipa wa Tanzania Prisons, Jeremiah Kisubi kuwa anasubiri tu ligi imalizike kabla ya kutangazwa kuwa mchezaji wa Simba.
Ambundo aibeba Dodoma Jiji kwa KMC Dodoma. Bao la Dickson Ambundo mwishoni wa kipindi cha kwanza, limeipa ushindi muhimu timu yake Dodoma Jiji kwenye mchezo wa ligi kuu dhidi ya KMC. Ambundo alifunga bao hilo akipokea pasi nzuri...
Hatma ya Lamine mikononi mwa mabosi wake TANGU aliporudishwa Dar es Salaam, wakati Yanga ikijiandaa na mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Namungo wiki iliyopita, bado haijulikani nini hatima ya nahodha Lamine Moro. Licha ya Lamine...
Yanga waendeleza ubabe kwa maafande JKT Ushindi wa mabao 2-0 walioupata Yanga mbele ya maafande wa JKT Tanzania, umeendeleza rekodi nzuri ya Yanga kila wakikutana na JKT.
Yanga yawavuruga maafande Yanga imefanikiwa kumaliza dakika 45 za kipindi cha kwanza ikiongoza kwa mabao mawili dhidi ya maafande JKT Tanzania katika Uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma.
Yacouba awanyanyua Yanga Kwa mara nyingine tena leo, Mshambuliaji Yacouba Songne amefanikiwa kuwanyanyua mashabiki wa Yanga kwa kuandika bao la kuongoza dhidi ya JKT Tanzania.
Mashabiki kiduchu waingia Jamhuri kuwashudia JKT, Yanga Mchezo huu unachezwa kwenye uwanja wa Jamhuri, Dodoma
Yanga kuwakosa hawa dhidi ya JKT Tanzania Wachezaji hao muhimu wataukosa mchezo wa kesho Jumatano, utakaochezwa uwanja wa Jamhuri Jijini hapa.
JKT watamba kuendeleza ushindi kwa Yanga Timu hiyo inasaka ushindi kwenye kila mchezo ili kujinasua kwenye mstari wa kushuka daraja.
Yanga wao ni waamuzi tu dhidi ya JKT Kabla ya kuja Dodoma, Yanga imetokea kucheza mchezo dhidi ya Namungo wakitoka suluhu uwanja wa Majaliwa Ruangwa.