Sakho, Mhilu wapewa Dodoma Baada ya kuingia kutokea benchi na kubadilisha hali ya mchezo uliopita ugenini dhidi ya Biashara United, wachezaji Ousmane Sakho na Yusuph Mhilu wameanzishwa dhidi ya Dodoma Jiji.
Dodoma Jiji bajeti imepanda hadi Sh1.3 bilioni, kuisaka Top Four DODOMA Jiji msimu uliopita ilimaliza ligi katika nafasi ya nane na kwa vile ilikuwa ni msimu wake wa kwanza tangu wapande daraja, matumaini ya kufanya vizuri ni makubwa zaidi msimu huu. Benchi...
AJ hoi tena akimkosa Fury Linakua pambano la pili kwa Joshua kupoteza na kuvuliwa mikanda yake minne ya uzito wa juu Duniani (Heavyweight).
Jamhuri safii, Makata aisubiri Simba Wakazi wa mkoa wa Dodoma na Tanzania kwa ujumla hivi karibuni wataanza kushuhudia mechi za Dodoma Jiji zikichezwa usiku baada ya Uwanja wa Jamhuri unaotumiwa na timu hiyo kuendelea kuwekwa taa...
Dodoma Jiji yamaliza kazi, wanakuja kivingine KAMBI ya siku 14 waliyoweka Dodoma Jiji mkoani Morogoro, imefikia mwisho wake kwa timu hiyo kurejea rasmi Jijini Dodoma tayari kujiwinda na ligi kuu. Kambi hiyo ambayo ilikuwa na lengo la...
Dodoma Jiji noma, vinatoka vyuma zinaingia mashine WAKATI wachezaji Dickson Ambundo na Aaron Kalambo wakiachana na Dodoma Jiji, timu hiyo ipo kwenye mawindo ya kunasa wachezaji wapya ambao wataziba nafasi za nyota hao akiwemo mshambuliaji Danny...
Yanga yabanwa mbavu Dodoma LICHA ya kuingia kwa wachezaji nyota wa Yanga, bado haikusaidia timu hiyo kuibuka na ushindi kwenye mchezo wa mwisho. Feisal Salum, Yacouba Songne na Tuisila Kisinda, waliingizwa kipindi cha...
Yanga, Dodoma ngoma ngumu Kipindi cha kwanza, mchezo kati ya Dodoma Jiji na Yanga kimemalizika kwa suluhu kwenye uwanja wa Jamhuri. Timu zote zilishambuliana mara kadhaa lakini maahambulizi yao hayakuzaa bao lolote kwa...
Ambundo, Anuary kumpima Kabwili Dodoma. WACHEZAJI Dickson Ambundo na Anuary Jabir wa Dodoma Jiji, ndio wamepewa jukumu la kuongoza mashambulizi dhidi ya Yanga. Ambundo, ambaye anatajwa kuwa kwenye rada za Yanga kwa msimu...
Nabi aanza na wapya nane KOCHA Nassredine El Nabi wa Yanga, leo kwenye mchezo dhidi ya Dodoma Jiji, amewaanzisha nyota wake wapya nane ambao hawakuanza mchezo iliyopita. Katika mchezo uliopita ambao Yanga ilishinda...