Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

971 results for Oscar Oscar :

  1. Twite aziba nafasi ya Kessy

    JUHUDI Za Yanga kumtumia Hassan Kessy katika mechi yao ya usiku huu dhidi ya MO Bejaia, zimekwama na Kocha Hans Pluijm amemuanzisha Mbuyu Twite katika beki ya kulia.

  2. NINAVYOJUA : Mwinyi ni wakati wa kuiacha miguu yako iongee

    JUZI tu nilimuona kwa mara ya kwanza beki wa kushoto wa Simba, Mohammed Hussein akipata namba na kucheza katika kikosi cha timu ya taifa, Taifa Stars kwa mara ya kwanza na kumweka benchi Haji...

  3. Eeh! Kumbe kikapu ndo hivi!

    KATIKA dunia tunaoishi ipo michezo mingi ambayo kama ukianza kuihesabu itakutafunia muda wako kwani ni mingi, ingawa ipo michezo kama 10 ambayo ndiyo maarufu zaidi na imekuwa ikifuatiliwa kwa...

  4. Yanga yatuma salamu

    YANGA ina mechi ngumu na TP Mazembe kwenye Kombe la Shirikisho Afrika lakini jana Jumatano Uwanja wa Taifa ililaza Azam mabao 3-1 katika mechi ya fainali ya Kombe la FA na kubeba kombe hilo...

  5. Eti walibebwa?

    KUNA ubishi unaendelea mtaani juu ya uhalali wa Yanga kutwaa taji la Ligi Kuu Bara msimu huu. Kuna wale ambao wanaona Yanga alistahili na wengine wanabisha. Ubaya ni kwamba baadhi ya mashabiki wa...

  6. NINAVYOJUA : Kuna upotoshwaji mkubwa mechi ya Yanga na Coastal Union

    GUMZO na mjadala mkubwa miongoni mwa mashabiki wa soka ni matukio ya mchezo wa nusu fainali ya Kombe la FA kati ya Coastal Union dhidi ya Yanga ambalo lilichezwa Mkwakwani, Tanga na kushindwa...

  7. Azam fainali FA, goma la Yanga lavunjika

    AZAM jana Jumapili bila kujali uchovu wa safari ya Tunisia ilipoenda kucheza na Esperance, ilitinga fainali ya Kombe la FA ikiing’oa Mwadui kwa penalti katika nusu fainali mjini Shinyanga, huku...

  8. Yanga helua helua

    MABINGWA wa Tanzania, Yanga imeaga michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kufungwa bao la jioni na wenyeji wao Al Ahly, lakini ikiacha gumzo Misiri kwa soka lake la kiwango cha hali ya juu...

  9. CAF yairahisishia kazi Yanga

    YANGA ikiwa na mzuka wa ushindi wa mechi zake za viporo vya Ligi Kuu Bara, jana Jumapili imeifuata Al Ahly ya Misri kitemi, huku nyuma mabosi wa Shirikisho la Soka Afrika (CAF) wakiirahisishia...

  10. Waarabu wamganda Kamusoko Dar

    YANGA na mashabiki wao walikuwa wakiamini kuwa, wapinzani wao katika Ligi ya Mabingwa Afrika, Al Ahly ya Misri wamesharejea kwao ili kujipanga kwa mechi yao ya marudiano, lakini kumbe wapi, jamaa...

Previous

Page 74 of 98

Next