ZA NDAANI KABISA: Dilunga kuendelea kulipwa Simba LICHA ya mkataba wake kumalizika, lakini kiungo wa Simba, Hassan Dilunga ataendelea kulipwa kiasi cha pesa kutoka kwa waajiri wake hao kwani majeraha yanayomuweka nje ya uwanja aliyapata akiwa...
Bosi wa Makambo amfuata Mukoko KIUNGO wa Yanga Mukoko Tonombe amebakiza siku chache kwenda nchini kwao DR Congo katika majukumu ya timu ya taifa lakini ghafla kuna klabu inajipanga kuwasilisha ofa nzito ambayo kama matajiri wa...
Mabao anayofungwa Shikhalo daaah! KWANI Shikhalo mwenyewe anasemaje! Pengine atatoa majibu ya shida inayoonekana kumwandama kipa huyo wa mabingwa wa kihistoria wa Ligi Kuu Tanzania Bara kwa kufungwa mabao ya umbali mrefu.
Simba mastraika, Yanga viungo 'Derby' Idara ya kiungo ya Yanga ndio imekuwa tegemeo katika kuipatia mabao timu hiyo kwenye Ligi Kuu hadi sasa kama ilivyo kwa ile ya ushambuliaji ya Simba katika mechi ambazo kila timu imeshacheza hadi...
Bayern, Real Madrid kitaumana leo Vigogo wa soka barani Ulaya, Bayern Munich na Real Madrid wataonyeshana kazi usiku wa leo Jumanne katika mchezo wa kwanza matata kabisa wa hatua ya nusu fainali kwenye mikikimikiki ya Ligi ya...
Al Ahly watua Dar kwa tahadhari Msafara wa Al Ahly umewasili mchana huu Dar es Salaam kwa ajili ya mchezo wa hatua ya robo fainali dhidi ya Simba, Ijumaa kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa lakini imekiri kuwa italazimika kufanya...
Benchikha aipa hofu Al Ahly Mkuu wa msafara wa Al Ahly, Hossam Ghally, amesema kizuizi kikubwa kwao kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Simba ni uwepo wa kocha, Abdelhak Benchikha.
Mastaa Yanga nje wakiisikilizia Belouizdad Yanga imewakwepa kiaina wapinzani wake, CR Belouzidad kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kuanzisha kikosi ambacho hakina mastaa wakubwa kwenye mchezo wa Kombe la Shrikisho la Azam...
Dogo Mtanzania awasapraizi Warussia KINDA wa Kitanzania, Harrith Chunga ametajwa kuwa kivutio katika mashindano ya Games of the Future yanayoendelea Russia. Mashindano hayo yanayofanyika kila mwaka yakishirikisha watoto kutoka...
Kisa matokeo, mashabiki Chelsea wachachamaa! MATOKEO mabovu katika mechi mbili mfululizo yamemtibulia Kocha wa Chelsea, Enzo Maresca kwa mashabiki wengi wakitaka aondoke, lakini mabosi wa mabingwa hao wa Dunia wamesema bado wanamwamini na...