Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

477 results for Ibrahim Mussa :

  1. Mgosi aipasua Msimbazi

    USAJILI ndani ya klabu ya Simba ni kama umefikia ukingoni kwa baadhi ya nyota wapya na wa zamani kusainishwa mikataba mipya, lakini suala la nahodha wa klabu hiyo, Mussa Hassan Mgosi...

  2. Tambwe, Ngoma waiponza Yanga

    WASHAMBULIAJI, Amissi Tambwe raia wa Burundi na Donald Ngoma raia wa Zimbabwe ambao wanafanya vizuri na Yanga wameiponza timu hiyo na kujikuta ikikosa mshambuliaji yeyote katika kikosi cha Taifa...

  3. JICHO LA MWEWE: Mwashiuya angekuwa staa mkubwa Simba

    NDANI ya wiki moja unaunganisha matukio mawili na kupata jibu moja rahisi. Unahitaji kutumia akili ya kawaida tu. Nilikuwa studio nikichambua pambano la Simba na Azam wiki iliyopita. Wachezaji wa...

  4. Kichuya apiga bao

    KIUNGO Mshambuliaji wa Mtibwa Sugar, Shiza Kichuya amewafunika kina Donald Ngoma wa Yanga na Ibrahim Ajib akishinda tuzo ya Mchezaji Bora wa Ligi Kuu Bara kwa mwezi uliopita wa Machi, huku...

  5. Nyota 7 waiweka Simba njia panda

    SIMBA ipo kileleni mwa Ligi Kuu Bara ikiwa na pointi 57, ingawa ishatolewa kwenye mbio za kuwania ushiriki wa michuano ya kimataifa kupitia Kombe la FA, lakini klabu hiyo ipo hatarini kupoteza...

  6. Yanga waivuruga Simba kitajiri

    HUWEZI kuamini, lakini ndivyo ilivyo. Wakati wa zoezi la usajili mabosi wa Simba na Yanga walituliza vichwa na kuamua kumwaga fedha ili kunasa wachezaji walioamini wangewasaidia katika Ligi Kuu...

  7. Yaliyojiri tangu Mgosi afunge bao la mwisho

    INATIA huruma. Mfungaji Bora wa Ligi Kuu Bara msimu wa 2009/10, Mussa Hassan Mgosi, hajafunga bao lolote tangu Aprili mwaka jana, hivyo kutimiza zaidi ya siku 330 bila kuona nyavu. Huu...

  8. Ajib, Barthez wapewa mchongo Ulaya

    KWA sasa nchini kuna mzee mmoja anatembea kifua mbele kutokana na kuwa mzazi wa mchezaji pekee anayecheza soka la kulipwa Ulaya, Mbwana Samatta ambaye anakipiga KRC Genk ya Ubelgiji.

  9. Msimbazi kama kawa, kama dawa

    WAMEBANA mwisho wameachia. Wekundu wa Msimbazi, Simba jana Jumapili waliendeleza wimbi la ushindi Ligi Kuu Bara kwa kuifunga Prisons ya Mbeya bao 1-0 katika mchezo mkali ambao maafande hao...

  10. Mnahesabu lakini? Mara ya tatu mjue

    MWENDO mdundo. Simba jana Alhamisi kwa mara ya tatu imekalia kiti cha uongozi wa Ligi Kuu Bara baada ya kuicharaza Ndanda FC ya Mtwara mabao 3-0, huku Hamis Kiiza akimmzidi ujanja Amissi Tambwe...

Previous

Page 43 of 48

Next