Mbeya City yampigia hesabu Maseke KIPA Wilbol Maseke anayemaliza mkataba wake na KMC, anahusishwa kutakiwa na Mbeya City, ili kuongeza nguvu kwa ajili ya msimu ujao baada ya kupanda daraja, ikimaliza nafasi ya pili katika Ligi ya...
Metacha aukubali mziki wa Mnigeria Singida KIPA wa Singida Black Stars, Metacha Mnata amesema mzunguko wa kwanza ulikuwa bora kwake akipata nafasi ya kucheza tofauti na raundi ya pili ambayo panga pangua ni Obasogie Amas, raia wa Nigeria...
Zaiid: Aah wapi! Tafuta Bwana una maana tatu MSANII wa Hip Hop, Abdullah Jamal Mnete 'Zaiid' ambaye kwa sasa anatamba na wimbo mpya wa Tafuta Bwana amezungumzia namna ulivyompa matokeo ya haraka kutokana na mapokeo ya mashabiki wake.
Mtibwa yasaka kocha, yamkomalia Bayser MTIBWA Sugar kwa sasa inafanya mambo mawili muhimu, ipo katika mchakato wa kumtafuta kocha mkuu ndani na nje na kupitia kwa uongozi wa serikali Mkoa wa Morogoro inamshawishi, Jamal Byser kurudi...
Kwa Namungo ni heshima na nafasi KIRAKA wa Namungo, Erasto Nyoni amesema mechi mbili zilizosalia kufunga hesabu za msimu huu, zimebeba heshima na nafasi endapo timu hiyo ikishinda zote, inaweza ikapanda hadi nafasi ya tano...
PRIME Simba yaanza kufyeka hawa MASHABIKI wa Simba wanaendelea kuchekelea ushindi wa 23 kwa msimu huu katika Ligi Kuu kwa kuilaza Singida Black Stars, lakini mabosi wa klabu hiyo wameanza kufanya maboresho ya kikosi hicho kimya...
‘Ni Fei Toto na Mzize tu’ MSHAMBULIAJI wa Tanzania Prisons, Jeremiah Juma amesema kati ya wachezaji wazawa waliofanya vizuri kwa msimu huu ni Feisal Salum ‘Fei Toto’ anayeitumikia Azam.
PRIME Chama na mambo mawili tu Yanga KIUNGO mshambuliaji Clatous Chama anayemaliza mkataba na Yanga, ana mambo mawili tu ili kuendelea kuonyesha ukubwa alionao katika soka la Tanzania.
Ligi ya Kikapu Dar ni burudani ndani, nje UKIACHANA na ushindani wa uwanjani wa Ligi ya Kikapu Mkoa wa Dar es Salaam (BDL), burudani nyingine ni kutoka kwa mashabiki wa mchezo huo, wanaoweza kufurahia mchezaji wa upinzani pindi...
Tanzania Prisons yajipanga upya KOCHA wa Tanzania Prisons, Amani Josiah amesema mapumziko ya wiki mbili aliyotoa kwa wachezaji anaamini yatawajenga na kupata nguvu mpya ya kufanya vizuri katika mechi mbili zilizosalia ikiwamo...