Manchester United yapanga mikakati kwa Osimhen MANCHESTER United inafanya majadiliano ya ndani kuhusu ofa ambayo inaweza kuiandaa kwa ajili ya kumsajili mshambuliaji wa Napoli na timu ya taifa ya Nigeria, Victor Osimhen, mwenye umri wa miaka 26.
Donnarumma ashtua mabosi Old Trafford MANCHESTER United imepata mzuka baada ya kusikia kwamba kipa wa Paris Saint-Germain, Gianluigi Donnarumma anaweza kupatikana kwa bei ya kutupa.
Winga Cherki katua tunduni Man City MANCHESTER City imethibitisha kumsajili kiungo wa Olympique Lyon, Rayan Cherki kwa ada ya Pauni 31 milioni.
Chelsea yaacha vifaa Kombe la Dunia CHELSEA imepiga chini mastaa wenye thamani ya Pauni 150 milioni katika kikosi chake kitakachokwenda kuchuana kwenye fainali za Kombe la Dunia la Klabu litakalofanyika Marekani mwezi huu.
Saka afichua wasiwasi wake wakati akijiuguza STAA wa Arsenal, Bukayo Saka amefunguka athari alizokabiliana nazo kimwili na kiakili wakati alipokumbwa na majeraha makubwa yaliyoweka kwenye mashaka makubwa maisha yake ya soka.
Manchester United yatema kibao MANCHESTER United imethibitisha itawatema mastaa wake Christian Eriksen, Jonny Evans na Victor Lindelof kwenye dirisha hili la uhamisho wa majira ya kiangazi baada ya mikataba yao kumalizika.
He! Mabosi Sporting wamtibua Gyokeres STRAIKA wa mabao, Viktor Gyokeres ameripotiwa kuwakasirikia mabosi wa Sporting Lisbon baada ya kufanya mabadiliko kwenye kipengele kinachotaja bei anayouzwa mshambuliaji huyo.
PRIME Zamalek washusha mzigo Yanga NDANI ya wiki chache zijazo, mshambuliaji wa Yanga, Clement Mzize ataweka rekodi mbili kwenye soka la Tanzania endapo dili lake la kucheza nje litakwenda kama lilivyopangwa.
Luka Modric afungua milango kutua AC Milan AC Milan imepokea taarifa muhimu kutoka kwa kiungo veterani Luka Modric kwamba milango wazi kwenda kujiunga na miamba hiyo ya Italia.
Ten Hag amtaka Grealish pale kwa Wirtz STAA ghali Manchester City, Jack Grealish ameripotiwa kuwekwa kwenye orodha ya wachezaji ambao wanaweza kunaswa ili wakachukue mikoba ya Florian Wirtz huko Bayer Leverkusen.