Nafasi za Mnguto, Kasongo zajazwa TPLB Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imepata viongozi wawili wa kukaimu nafasi za Mwenyekiti na Mtendaji Mkuu ambao Juni 13, 2025 waliondoka katika nafasi hizo kwa sababu tofauti.
Kompyuta yatabiri bingwa EPL 2025/26 KOMPYUTA ya kisasa imetabiri msimamo wa mwisho wa Ligi Kuu ya England kwa msimu wa 2025/26 baada ya ratiba zote kutangazwa juzi.
Winga Chelsea akaribia kifungo WINGA wa Chelsea, Mykhailo Mudryk, anakabiliwa na uwezekano wa kufungiwa hadi miaka minne baada ya kushtakiwa rasmi na Chama cha Soka cha England (FA) kuhusu ukiukaji wa kanuni za kupinga...
Trent atoa siri ya Kihispania chake BEKI kisiki wa Real Madrid, Trent Alexander-Arnold amefichua alikuwa akijifunza Kihispania kwa ‘miezi kadhaa’ kabla hajajiunga na timu hiyo dirisha hili.
Liverpool yadhamiria kwa Alexander Isak, kuvunja rekodi LIVERPOOL iko tayari kuvunja rekodi ya usajili England ili kuinasa saini ya mshambuliaji wa Newcastle na timu ya taifa ya Sweden, Alexander Isak, katika dirisha hili.
Gyokeres awakataa mabosi Sporting Lisbon STRAIKA wa Sporting Lisbon, Viktor Gyokeres amekataa ombi la kufanya mazungumzo na viongozi wa timu yake huku sakata lake la uhamisho likizidi kuchukua suta mpya.
Mashabiki Man United walalamikia tiketi MASHABIKI wa Manchester United wamelaani ongezeko jipya la bei za tiketi, wakilielezea ni pigo lingine kali kwao.
PRIME Wagombea waanza kulia uchaguzi TFF SAA 24 kabla ya kufungwa kwa zoezi la kuchukua na kurudia fomu za Uchaguzi Mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), baadhi ya wagombea waliojitosa katika kinyang'anyiro hicho wameanza kulia kwa...
Mkali wa Black Panther kuja kufundisha kuogelea KOCHA maarufu wa mchezo wa kuogelea duniani, Atiba Hasim-Nii Wade kutoka Marekani anatarajiwa kutua nchini ili kuendesha mafunzo ya mchezo huo kuanzia Juni 27 hadi Julai Mosi.
PRIME Miloud ashindwa kujizuia kwa Pacome YANGA imefanya mauaji jijini Mbeya ilipoivuruga Tanzania Prisons kwa mabao 5-0, kisha fasta ikageuka na kurejea Dar es Salaam usiku wa jana ili kujiandaa na safari ya kwenda Zanzibar kuvaana na...