Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

1574 results for Olipa Assa :

  1. Buswita haoni pa kutokea Ligi Kuu

    KIUNGO wa Namungo FC, Pius Buswita amesema katika mechi mbili za Ligi Kuu Bara zilizobaki, haoni kama anaweza kuvunja rekodi yake ya mabao saba aliyofunga msimu uliyopita.

    BUSWITA Pict
  2. Kipa KenGold: Mpanzu? Tunajuana huko huko!

    KIPA wa KenGold, Castor Mhagama amesema mechi ya kesho ya kukamilisha ratiba ya Ligi Kuu Bara dhidi ya Simba itakayopigwa kwenye Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi mjini Tabora anatarajia itakuwa ngumu...

    KIPA Pict
  3. PRIME Ishu ya Ibenge, Azam haitanii

    MAPEMA bila ya kuchelewa, taarifa zinabainisha kwamba Azam FC imeanza mchakato wa kumpata mrithi wa Kocha Rachid Taoussi ambaye inaelezwa mwisho wa msimu huu anaondoka klabuni hapo. Katika...

    IBENGE Pict
  4. Baba yake Ally Mayay afariki dunia kwa ajali Tabora

    Nyota wa zamani wa Yanga na Taifa Stars, Ally Mayay Tembele, amepata msiba baada ya leo Juni 16, 2025 kufiwa na baba yake mzazi. Mhasibu wa Chama cha Wachezaji wa Zamani Tanzania (Galacticos)...

    BABA Pict
  5. Ligi ya Kikapu Dar mambo ni moto

    MECHI saba za mwisho kabla Ligi ya Kikapu Mkoa wa Dar es Salaam ( BDL) kusimama kupisha michuano ya Taifa Cup, timu zilionyesha ushindani mkali uliyowapa mashabiki burudani katika viwanja vya Don...

    BD Pict
  6. Mwakipaki: Kikapu pesa ipo, ishu kiwango tu

    KATIBU wa Chama cha Mpira wa Kikapu Mkoa wa Dar es Salaam (BDL), Mpoki Mwakipaki amesema msisimko na ubora wa ligi ya msimu huu ni mfumo wa udhamini unaowagusa wachezaji moja kwa moja, tofauti na...

    MWAKIPAKI Pict
  7. Taoussi siku zinahesabika Azam

    AZAM FC inaendelea kujifua kwa ajili ya mechi mbili za kumalizia msimu ikiwamo dhidi ya Tabora United na ile ya Fountain Gate, lakini mabosi wa klabu hiyo wameanza mapema mipango kikosi hicho...

    TAUSI Pict
  8. Bocco kuagwa kwa heshima JKT

    MSHAMBULIAJI wa JKT Tanzania, John Bocco imeelezwa huenda ukatumika mchezo dhidi ya Mashujaa utakaopigwa Juni 22, Uwanja wa Lake Tanganyika, Kigoma kuagana na mashabiki wa timu hiyo.

    BOCCO Pict
  9. Mayay: Kisa Dabi, Wazee Yanga walituomba radhi

    ACHANA na kinachoendelea kwa sasa kuhusu Kariakoo Dabi ambao awali ilipangwa kupigwa Machi 8 kisha ikaahirishwa kitatanishi na Bodi ya Ligi Kuu Bara na kupangwa ipigwe kesho Jumapili, huku kukiwa...

    MAYAY Pict
  10. PRIME Uamuzi wa kushtua Simba, Camara atajwa

    Kutokana na mwenendo wa timu hiyo kwenye mashindano mbalimbali msimu huu pamoja na majadiliano na benchi la ufundi huenda wakafanya baadhi ya maamuzi ya kiufundi ambayo huenda yakashtua mashabiki...

    CAMARA Pict

Page 1 of 158

Next