PRIME BALAA! Tishio jipya afya za mastaa Ligi Kuu bara LIGI Kuu Bara ipo ukingoni kabla ya kufikia tamati, huku zikiwa zimeshapigwa mechi 210 ikiwamo iliyochezwa jana jioni kwenye Uwanja wa KMC Complex, Dar es Salaam kati ya wenyeji Simba na Mashujaa...
PRIME Yanga yafuata kocha Sauzi, kuhusu Hamdi iko hivi! WAKATI kukiwa na taarifa kwamba Yanga ina mpango wa kuwa na benchi jipya la ufundi kwa msimu ujao, taarifa zinadai kuwa mabosi wa timu hiyo wameshaanza harakati za kusaka mbadala wa Kocha Miloud...
LEBRON NA BRONNY: Baba, mwana walioanza na kupoteza pamoja NBA MSIMU wa kwanza wa nyota mpya wa Los Angeles Lakers, Bronny James katika Ligi ya Kikapu Marekani (NBA) ulimalizika wiki hii kwa kichapo cha pointi 103-94 kwenye mechi ya mchujo kutoka kwa...
Arsenal yamkomalia Tchouameni dili la Saliba ARSENAL imeiambia Real Madrid kuwa itakuwa tayari kumuuza beki wa kati wa kimataifa wa Ufaransa, William Saliba endapo tu itapewa nafasi ya kumsajili kiungo wa kimataifa wa nchi hiyo, Aurelien...
MJIPANGE! Andrea Berta atakavyotumia Pauni 300 milioni kuleta majembe Arsenal ANDREA Berta ameripotiwa kuahidiwa kwamba atakabidhiwa Pauni 300 milioni kwa ajili ya kuzitumia kwenye usajili katika dirisha lake la kwanza la majira ya kiangazi akiwa mkurugenzi wa michezo mpya...
Antony hashikiki huko Real Betis GWIJI wa Hispania, Joaquin amepanga "kumteka" Antony ili kumzuia winga huyo kurudi Manchester United.
Ten Hag kupewa mikoba ya Alonso ERIK ten Hag amepiga hatua kubwa kwenye mazungumzo ya kurithi mikoba ya Xabi Alonso katika kikosi cha Bayer Leverkusen, imeripotiwa.
Lehmann: Arteta atafutwa kazi GWIJI wa Arsenal, Jens Lehmann amesema kocha wa sasa wa timu hiyo Mikel Arteta atajiweka kwenye hatari ya kufutwa kazi endapo atashindwa kubeba taji la Ligi Kuu England msimu ujao.
Liverpool haijamaliza EPL 2024/25 MBIO za ubingwa wa Ligi Kuu England zimeshafika kikomo na sasa ni kutafuta heshima tu. Liverpool imebakiza mechi nne kwenye Ligi Kuu England msimu huu na hakika hizo ni mechi ambazo zitakuwa na...
PRIME Sababu tatu zilizoiangusha Yanga CAS MABOSI wa Yanga inaelezwa jana waliitana na kujifungia ili kujadili hukumu ya kesi waliyoifungua Mahakama wa Kimataifa ya Usuluhishi ya Michezo (CAS), iliyotupiliwa mbali, huku zikitajwa sababu...