Mke wa Tom Olaba awalilia Watanzania KOCHA mkuu wa zamani wa Mtibwa Sugar na Ruvu Shooting za Tanzania, Mkenya Tom Olaba anasumbuliwa na maradhi ya kupooza mwili baada ya kufanyiwa upasuaji wa uti wa mgongo, huku mkewe akiomba...
Mastaa wazawa Azam FC wafunika WAKATI Ligi Kuu Bara ikienda ukingoni msimu huu wa 2024-2025, tayari jumla ya mabao 521, yamefungwa ikiwa ni idadi kubwa zaidi tofauti na ya msimu uliopita ambao yalifungwa 517, ikionyesha kasi...
Laizer mbioni kurejea Fountain Gate TIMU ya Fountain Gate iko katika hatua za mwishoni za kumrejesha aliyekuwa kocha msaidizi wa timu hiyo, Mohammed Ismail ‘Laizer’, huku makocha wa kikosi hicho kwa sasa Khalid Adam na Amri Said...
Ouma: Wale Simba waje tu! KOCHA wa Singida Black Stars raia wa Kenya, David Ouma amesema mechi ya kirafiki dhidi ya Yanga imewapa morali wachezaji wakati huu wakijiandaa kucheza na Simba katika mechi mbili za Ligi Kuu...
Chama la Wana, Geita mzigoni upyaaa KAMA ulidhani mambo yameisha katika Ligi ya Championship baada ya Mtibwa Sugar kubeba ubingwa na kupanda Ligi Kuu Bara sambamba na Mbeya City, pole yako.
PRIME Turufu ya Mzize na Dube kwa Jean Ahoua USHINDANI wa mastaa kwenye Ligi Kuu Bara msimu huu umezidi kukolea na kusababisha mambo kuzidi kunoga. Lakini kuna kuna linakwenda kutokea kati ya wachezaji watatu mahiri kwenye mashindano hayo...
Kilichoiangusha Tabora United hiki hapa KICHAPO cha bao 1-0, ilichokipata Tabora United dhidi ya KMC FC, Mei 14, 2025, kimeifanya timu hiyo kufikisha mechi sita mfululizo za Ligi Kuu bila ya ushindi, tangu mara ya mwisho ilipoifunga...
Simba, Yanga kwenye ligi ya hat trick LIGI Kuu Bara kwa msimu wa 2024-2025, inaenda ukingoni ambapo hadi sasa zimefungwa hat trick nne kutoka kwa wachezaji wa Simba na Yanga kila mmoja wao, ingawa nyota wa timu hizo wamekuwa ni moto...
Kilichomkuta Feitoto Azam FC KIUNGO mshambuliaji wa Azam FC, Feisal Salum ‘Fei Toto’, ameuanza vibaya mwaka huu wa 2025 tofauti na uliopita baada ya kutofunga bao lolote katika Ligi Kuu hadi sasa, licha ya kuasisti mabao...
CAF yampa mzuka Ouma Singida Black Stars KOCHA wa Singida Black Stars raia wa Kenya, David Ouma amesema kitendo cha kupata tiketi ya kushiriki michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika msimu ujao, kwao kama benchi la ufundi, viongozi na...