Buswita haoni pa kutokea Ligi Kuu KIUNGO wa Namungo FC, Pius Buswita amesema katika mechi mbili za Ligi Kuu Bara zilizobaki, haoni kama anaweza kuvunja rekodi yake ya mabao saba aliyofunga msimu uliyopita.
Kipa KenGold: Mpanzu? Tunajuana huko huko! KIPA wa KenGold, Castor Mhagama amesema mechi ya kesho ya kukamilisha ratiba ya Ligi Kuu Bara dhidi ya Simba itakayopigwa kwenye Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi mjini Tabora anatarajia itakuwa ngumu...
PRIME Ishu ya Ibenge, Azam haitanii MAPEMA bila ya kuchelewa, taarifa zinabainisha kwamba Azam FC imeanza mchakato wa kumpata mrithi wa Kocha Rachid Taoussi ambaye inaelezwa mwisho wa msimu huu anaondoka klabuni hapo. Katika...
Baba yake Ally Mayay afariki dunia kwa ajali Tabora Nyota wa zamani wa Yanga na Taifa Stars, Ally Mayay Tembele, amepata msiba baada ya leo Juni 16, 2025 kufiwa na baba yake mzazi. Mhasibu wa Chama cha Wachezaji wa Zamani Tanzania (Galacticos)...
Ligi ya Kikapu Dar mambo ni moto MECHI saba za mwisho kabla Ligi ya Kikapu Mkoa wa Dar es Salaam ( BDL) kusimama kupisha michuano ya Taifa Cup, timu zilionyesha ushindani mkali uliyowapa mashabiki burudani katika viwanja vya Don...
Mwakipaki: Kikapu pesa ipo, ishu kiwango tu KATIBU wa Chama cha Mpira wa Kikapu Mkoa wa Dar es Salaam (BDL), Mpoki Mwakipaki amesema msisimko na ubora wa ligi ya msimu huu ni mfumo wa udhamini unaowagusa wachezaji moja kwa moja, tofauti na...
Taoussi siku zinahesabika Azam AZAM FC inaendelea kujifua kwa ajili ya mechi mbili za kumalizia msimu ikiwamo dhidi ya Tabora United na ile ya Fountain Gate, lakini mabosi wa klabu hiyo wameanza mapema mipango kikosi hicho...
Bocco kuagwa kwa heshima JKT MSHAMBULIAJI wa JKT Tanzania, John Bocco imeelezwa huenda ukatumika mchezo dhidi ya Mashujaa utakaopigwa Juni 22, Uwanja wa Lake Tanganyika, Kigoma kuagana na mashabiki wa timu hiyo.
Mayay: Kisa Dabi, Wazee Yanga walituomba radhi ACHANA na kinachoendelea kwa sasa kuhusu Kariakoo Dabi ambao awali ilipangwa kupigwa Machi 8 kisha ikaahirishwa kitatanishi na Bodi ya Ligi Kuu Bara na kupangwa ipigwe kesho Jumapili, huku kukiwa...
PRIME Uamuzi wa kushtua Simba, Camara atajwa Kutokana na mwenendo wa timu hiyo kwenye mashindano mbalimbali msimu huu pamoja na majadiliano na benchi la ufundi huenda wakafanya baadhi ya maamuzi ya kiufundi ambayo huenda yakashtua mashabiki...